ITAKUSHANGAZA: BINTI ALIYEZAA NA JINI BILA KUJUA ASHINDWA KUJIZUIA AKIELEZA KILICHOTOKEA A..
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#ITAKUSHANGAZA #BINTIALIYEZAANAJINIBILAKUJUA #ASHINDWAKUJIZUIA #tikitvkiakilizaidi #AKIELEZAKILICHOTOKEA
Смотреть в источнике
ITAKUSHANGAZA: BINTI ALIYEZAA NA JINI BILA KUJUA ASHINDWA KUJIZUIA AKIELEZA KILICHOTOKEA A..
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#ITAKUSHANGAZA #BINTIALIYEZAANAJINIBILAKUJUA #ASHINDWAKUJIZUIA #tikitvkiakilizaidi #AKIELEZAKILICHOTOKEA
Смотреть в источнике
14 комментариев
Aseee ulikua jasiri sana pole kipenzi
Jamani dunia inamambo sana pole sana dada kikubwa dua rudi kwamungu
Kuna Majini wabaya na kuna majini hawadhuru wako waislam na wako siyo Waislam. Unaweza ukawa na jini kwa miaka bila ya kukukera na akakukinga na vitu vibaya na kuna wale wa baya Mungu atustiri wanakufanya uwe huna raha.. Dawa yake ni kisomo tuu…
Kah we dada mchoyo kaah
Kaombewe
Deus é poderoso revelou tudo
Uislam una uhusiano na majini.
Pole sana dada
Uswahilini mambo upooo duh!
Pole sana mwanangu.mimi nilikuwa natokewa na watu wenye sura ya mdogo wangu.nilikuwa nakabwa usiku mwisho wa siku nikawa naota najifungua lakini nilikuwa natokwa na pumzi tu.Mkimbilie Yesu ndiye jibu suruhisho la milele.
Yesu anaweza dada ni vitu vidogo Kwa Yesu okoka nenda Kwa mtumishi wa kweli akuombee
Usitumie mapambo wla usisuke mapambo n ya Shetani ndo mama hata ukiomba yanakuja yache mapambo Lakini poia dawa ni wokovu tuuu yataisha
Wambea nao jamani
Pore sana mndogo